Karibu Musoma Information Center kwa huduma zifuatazo:- 1) Kwa kutengenezewa design mbalimbali kama za Business card, Vipeperushi, mabango mbalimbali, kadi za Harusi za kisasa zaidi, kadi za mialiko mbalimbali, Vitambulisho vya wanafunzi wa sekondari na katika kampuni mbalimbali ( ID cards) na kadi nyinginezo zenye design ya kuvutia. 2) Kutengenezewa mabango ( Posters) mbalimbali zinazohusu biashara ya mhusika au bidhaa mbalimbali. 3) Kutengenezewa nembo ( LOGO) za kuhusiana kampuni au biashara yako. 4) Tunatengeneza tovuti ( Websites ) zenye kiwango ambacho huwezi amini kama zinatengenezwa musoma, kwa bei nafuu ambayo huwezi ipata kwingine isipo kuwa kwetu. 5) Mwisho tunatoa ushauri na elimu kuhusiana na maswala ya computer.5) Sisi ni watengenezaji wa blog zinazokaa mfumo wa website. kama hii unayoiona.
Home » » JAMII YENYE UPENDO UFANIKIWA KWA KILA JAMBO

JAMII YENYE UPENDO UFANIKIWA KWA KILA JAMBO

MKurugenzi wa Jamii Information Network akiongea na Marehemu Mwalimu James Irenge aliyewahi kumfundisha Hayati Mwl J.K Nyerere
Mwakilishi wa ITV&Radio one Mkoani Mara ambaye pia ni Afisa habari na Ushawishi katika Asasi ya Jamii Information Network George Marato akiteta Jambo na waziri mkuu wa Tanzania Mh Mizengo Pinda mwaka jana Mjini Dodoma
Like us on Facebook
Follow us on Twitter
Recommend us on Google Plus
Subscribe me on RSS